Wasafiri wakwama baada ya barabara ya Garissa, Wajir na Tana River kukatika
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
4.78M subscribers
23,541 views
0

 Published On Apr 28, 2024

Kaskazini mwa Kenya ni kuwa shuguli za usafiri katika kaunti za Garissa, Wajir na Mandera zimetatizika kwa siku ya tatu hii leo baada ya barabara inayounganisha kaunti hizo kuharibiwa na mafuriko. Foleni ndefu za magari zimeshuhudiwa huku wafanyabiashara waliokwama wakilalamikia hasara. Feisal abdulrahman anaarifu kuhusu namna abiria wanaotumia barabara hii wameendelea kukesha barabarani

show more

Share/Embed