Afueni kwa wakaazi wa Pwani ya Kenya baada ya uzito wa Kimbunga Hidaya kuondoka
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
4.79M subscribers
37,873 views
0

 Published On May 5, 2024

Afueni Ya Kimbunga Pwani
Imekuwa Afueni Kwa Wakaazi Kuhusu Kimbunga Hidaya
Idara Ya Hali Ya Anga Yasema Hatari Yake Imeondoka
Kulikuwa Na Tangazo La Hatari Ya Kimbunga Hidaya
Idadi Ya Waathiriwa Wa Mafuriko Nchini Yafikia 228
Serikali Yasema Watu 9 Zaidi Wamefariki Katika Saa 24

show more

Share/Embed